#NBCPL: Akapita katikati yao akiwaacha Mbeya City wakimtazama….. Ni Elie Mpanzu ambaye amefunga goli hili na kuitanguliza Simba. HT: Mbeya City 0-1 Simba SC LIVE #AzamSports1HD #NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #MbeyaCityVsSimbaSC #MbeyaCity #SimbaSC #MbeyaCitySimbaSC #MCCSSC
LIVE CROWN SPORTS; VITA YA SIMBA & YANGA UBINGWA WA NBCPL IMEFIKA PABAYA, KWANINI?/ KMC FC BYE BYE NBCPL/NBCPL IMENOGA!/ KAYUNI AULA SHIRIKISHO LA SOKA ZAMBIA/ USAJILI UMEANZA BONGO.!
#NBCPL: Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mechi ya NBC Premier League kati ya Simba SC dhidi ya Pamba Jiji FT: Simba SC 2-1 Pamba Jiji Magoli ya Simba yamefungwa na Elie Mpanzu na Libasse Gueye huku goli la Pamba Jiji likifungwa na Mathew Momanyi. #NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #SimbaVsPambaJiji #SimbaSC #PambaJiji #SimbaPamba
#NBCPL: Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mchezo wa NBC Premier League kati ya Yanga SC ikiwa ugenini dhidi ya Mashujaa FC. Mechi imepigwa katika dimba la Lake Tanganyika Kigoma. Magoli yamefungwa na Mudathir Yahya na Bakari Mwamnyeto FT: Mashujaa 0-2 Yanga #NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuTanzania #ImenogaZaidi #MashujaaVsYanga #Mashujaa #YangaSC #MSHYNG
Jean Jaques Ngita na Jephte Kitambala Bola wameipa Azam FC magoli mawili muhimu ugenini wakiondoka na ushindi wa mabao 2-0 kwenye Dimba la Sheikh Amri Abeid, Arusha dhidi ya Fountain Gate FC. Haya hapa magoli yote mawili...
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, Yanga SC wamepoteza mchezo kwa mara ya kwanza msimu huu, wakichapwa 3-2 na Dodoma Jiji, mchezo, mchezo ukipigwa Airtel Stadium, Singida. Magoli ya Yanga yamefungwa na Allan Okello dakika ya 2 na 41, huku magoli ya Dodoma Jiji yakitoka kwa Bakari Mwamnyeto aliyejifunga dakika ya 29, Mwana Kibuta David dakika ya 90 na Wazir Junior Shemtembo dakika za nyongeza. Haya hapa magoli yote..
LIVE CROWN SPORTS; OKELLO NI MOTO WA KUTISHA/ CHAMA AMEZALIWA UPYA/ WACHEZAJI AZAM FC WALA SUMU WALAZWA HOSPITAL/ TUZO ZA BMT ZAZUA KIZAAZAA/ NBCPL IMENOGA.
#NBCPL: Tazama magoli yote matano yaliyofungwa kwenye mchezo wa NBC Premier League kati TRA United dhidi ya Azam FC. FT: TRA United 4-1 Azam FC Magoli ya TRA United yamefungwa na Ally Ng'azi, Ammy Mapaka na Ramadhan Salum 'Chobwedo' Goli la Azam FC limefungwa na Jephte Kitambala Bola. #NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #ImenogaZaidi #TRAUnitedvsAzamFC #TRAUnited #AzamFC #TRAUnitedAzamFC